xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | chuo kikuu cha kilimo cha sokoine | |
dc.date.accessioned | 2024-02-23T06:52:42Z | |
dc.date.available | 2024-02-23T06:52:42Z | |
dc.date.issued | 2022-10-31 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/801 | |
dc.description.abstract | Pumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani kilichopauka na kwa ndani huwa na rangi ya chungwa. Kwa sehemu yan je maboga huwa magumu lakini yanapopikwa hulainika. Ndani ya boga huwa kuna kuna mbegu ambazo hutolewa na sehemu ya ndani ambayo huwa inaliwa. Kipande cha gramu 80 cha boga (lililochemshwa) huwa na : Gramu 0.5g za protini Gramu 0.2 za mafuta Gramu 1.5 za nafaka Gramu 1.4 za sukari Gramu 1.2 za faiba( nyuzinyuzi) Miligramu 67za Potassium Miligramu 764 za carotene Miligramu 6 za vitramini C 10Kcal / 42KJ | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Sokoine University of Agriculture | en_US |
dc.subject | Boga | en_US |
dc.title | Boga | en_US |
dc.type | Learning Object | en_US |