xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mtama, Leonard
dc.date.accessioned 2023-12-28T04:53:34Z
dc.date.available 2023-12-28T04:53:34Z
dc.date.issued 2023-11-25
dc.identifier.citation https://gardenorganic-assets.s3.eu-west-2.amazonaws.com/ en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/784
dc.description.abstract Kitabu hiki kitaangazia sehemu ya hapo awali, ili kutoa maelezo kuhusu kuambatanisha miti na mimea mingine katika kuimarisha mazao na kuendeleza uhai-anuai. Ni muhimu kufahamu kwamba hakuna njia moja ya kuimarisha na kufanikisha kilimo, bali mbinu za kila aina zapaswa kutekelezwa. Mbinu hizi zaweza kujumuisha jamii nzima katika kupanda miti ya kienyeji, miti mingine yenye manufaa, mbinu za kutunza udongo na njia nyinginezo za kuimarisha kilimo cha mseto. Kilimo cha mseto hunufaisha sehemu kame, zile zisizotumika kwa kikamilifu au hata zile za tindikali au udongo wa chumvi nyingi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject mseto en_US
dc.title Kilimo cha mseto en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu