Ghala la Mkulima

Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori: WONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2017-12-22T11:25:10Z
dc.date.available 2017-12-22T11:25:10Z
dc.date.issued 2009
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/77
dc.description.abstract Mwongozo huu umeandaliwa ili kusaidia jamii na watunga sera katika ngazi ya jamii na kitaifa kufanya maamuzi na uchaguzi sahihi kuhusu matumizi ya ardhi, biashara, na sera za kitaifa kwa maeneo ya wafugaji, hasa nyika za umasaini na maeneo makame ya Afrika ya Mashariki. Kitini hiki kinachoeleza mfumo wa kusaidia ufanyaji maamuzi, Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori ni matokeo ya kazi iliyofanywa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF) na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI), pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mradi wa Mifumo mipya ya kujumuisha mifugo na wanyamapori kwenye maeneo ya malisho yaliyopo pembezoni mwa hifadhi za Taifa katika Afrika - Tanzania uliofadhiliwa na Mfuko wa Dunia wa Mazingira (GEF) na Benki ya Dunia. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF) en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.subject Wafugaji en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.subject Wanyamapori en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.title Kudumisha uhusiano kati ya jamii, ufugaji na wanyamapori: WONGOZO WA USHIRIKISHWAJI KATIKA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu