Ghala la Mkulima

Uzalishaji wa zao la karafuu.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo
dc.date.accessioned 2023-10-09T06:57:53Z
dc.date.available 2023-10-09T06:57:53Z
dc.date.issued 2022-05
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/761
dc.description.abstract Zao la karafuu ni kiungo maarufu kinachotumika duniani kote. Asili ya Zao la mkarafuu ni Indonesia, India, Pakistan na hata maeneo ya nchi za Afrika Mashariki kama Zanzibar. Maeneo mengine ya Tanzania yanayoweza kulima zao la karafuu ni pamoja na mikoa ya Morogoro na Tanga. Zao la karafuu lilipelekwa visiwa vya Unguja na Pemba na kuanzisha uzalishaji wa zao la karafuu kwenye visiwa hivi na mtawala wa Omani. Uzalishaji wa zao la karafuu katika visiwa vya Zanzibar umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka na kufikia tani 3, 5000 kwa na kufikia soko la karafuu duniani kwa asilimia 90. Zao la karafuu hustawi katika nyuzi joto 26.1-26.7°C na kukua vizuri kwenye sehemu yenye mwinuko wa usawa wa bahari m. 800-900 na ili zao hili liweze kustawi na kukua vizuri linahitaji mvua yenye wastani wa mm. 1628 mpaka mm. 1963 kwa mwaka en_US
dc.publisher Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo Sua en_US
dc.subject Karafuu en_US
dc.subject Kilimo bora en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.title Uzalishaji wa zao la karafuu. en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu