Ghala la Mkulima

Kilimo bora cha Mdarasini

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Lucas, Paul
dc.date.accessioned 2023-10-09T06:05:20Z
dc.date.available 2023-10-09T06:05:20Z
dc.date.issued 2016-11
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/758
dc.description.abstract Mdalisini ni kiungo kizuri ambacho hutumika kuongeza ladha nzuri katika vinywaji na vyakula. Zao hili hulimwa kama zao la biashara. Ili mkulima aweze kupata mavuno mengi na yenye ubora hana budi kuzingatia kanuni sahihi za kilimo. Miti hudumu shambani zaidi ya miaka 20 na huendelea kuchipua na kutoa Cysticercus Cellulosae (CC): Minyoo hatari kwa binadamu machipukizi mengine kila baada ya kuvuna ikiwa na faida mbalimbali kama vile gharama ndogo ya uzalishaji. Mazao yaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu, udhibiti kidogo wa magonjwa na wadudu. Ni rahisi kuchanganya na mazao mengine, nguvu kidogo hutumika na kipato kikubwa. en_US
dc.subject Mdarasini en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.title Kilimo bora cha Mdarasini en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu