Ghala la Mkulima

Umuhimu wa kushirikisha jamii katika uhifadhi wa maliasili za misitu

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Wizara ya Kilimo
dc.date.accessioned 2023-10-05T10:00:55Z
dc.date.available 2023-10-05T10:00:55Z
dc.date.issued 2016-07
dc.identifier.issn ISSN: 1821 - 8113
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/754
dc.description.abstract Kabla ya jamii kushirikishwa katika uhifadhi wa maliasili misitu eneo la Jozani na ghuba ya chwaka, Ndugu Simai alieleza kwamba Serikali pekee ndio iliyokuwa ikilinda rasilimali hizo zilizozungukwa na vijiji tisa vyenye wakaazi wasiopungua 42, 000. Ilionekana kwamba mwananchi wa kawaida kama ni adui wa maliasili japokuwa ndio mwenye mahitaji makuu ya kutumia maliasili hizo kwa maisha ya kila siku. Mwananchi alijenga dhana kwamba maliasili za misitu ni za Serikali na wao hawana mamlaka ya kufaidika na hilo na kupelekea kuwepo na mvutano baina ya mwananchi na Serikali katika matumizi ya maliasili na kusababisha uharibifu katika matumizi. Baada ya Serikali kutanabahi kwamba haitamudu kazi ya uhifadhi kwa ufanisi, wakati uharibifu wa maliasili za misitu unaongezeka na mvutano baina ya Serikali na wananchi unaongezeka, Idara ya Misitu ilitoa wazo la kushirikisha jamii katika uhifadhi wa maliasili za misitu ili iwe na hisia kwamba rasilimali zilizowazunguka ni zao na wanahusika katika jukumu la uhifadhi. Mnamo mwaka 1996 likatolewa wazo la kuanzisha Kamati za Uhifadhi. Kamati saba za kusimamia matumizi ya maliasili zilianzishwa katika Shehia za Pete (Jozani), Unguja Ukuu, Cheju, Chwaka, Charawe, Ukongoroni na Bwejuu. Baadae iliundwa Kamati ya ushauri baina ya Idara ya Misitu na kuwashirikisha wajumbe wawili kutoka kila kamati ambapo kazi za uhifadhi zikiratibiwa na mradi wa kimataifa wa CARE. Kamati hiyo ya ushauri ilifanya kazi kwa pamoja ambapo Idara ilitoa wazo la kuundwa kwa Jumuiya ya Uhifadhi wa Mazingira Jozani (JECA) kwa lengo la kuendelea na kazi za uhifadhi baada ya mradi wa CARE en_US
dc.publisher Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar en_US
dc.relation.ispartofseries ;16
dc.subject Maliasili Misitu en_US
dc.subject Uhifadhi en_US
dc.subject Kupe en_US
dc.subject Kichaa cha mbwa en_US
dc.title Umuhimu wa kushirikisha jamii katika uhifadhi wa maliasili za misitu en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu