Ghala la Mkulima

Mwongozo wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi: Mwitikio wa Tanzania katika Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, Upungufu wa Chakula na Lishe Duni

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Rioux, Janie
dc.contributor.author Laval, Elizabeth
dc.date.accessioned 2023-10-04T07:21:05Z
dc.date.available 2023-10-04T07:21:05Z
dc.date.issued 2012
dc.identifier.citation www.fao.org/in-action/micca en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/747
dc.description Kilimo na mabadiliko ya tabia ya nchi en_US
dc.description.abstract Kilimo ni nguzo muhimu katika uchumi na maendeleo ya Taifa hususani vijijini na kinachangia zaidi ya asilimia 95 ya mahitaji ya chakula nchini. Sekta ya Kilimo imeajiri zaidi ya asilimia 78 ya Watanzania wote; na pia inachangia karibu nusu ya pato la Taifa. Hata hivyo, kaya nyingi bado zinazalisha chakula kwa ajili ya kujikimu tu. Kilimo cha Tanzania kwa sehemu kubwa bado kinategemea mvua, hivyo ni rahisi kuathiriwa na mabadiliko ya tabianchi. Athari za mabadiliko ya tabianchi tayari zimeanza kujitokeza, ambapo zinarudisha nyuma juhudi za Serikali katika kuongeza tija na uzalishaji katika Sekta ya kilimo na kuleta athari za muda mrefu iwapo hatua za kukabiliana nazo hazitakuwepo. Hivyo ujumuishaji wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi katika miradi ya maendeleo utasaidia kukuza kilimo na maendeleo ya nchi kwa ujumla. en_US
dc.description.sponsorship FAO en_US
dc.publisher FAO en_US
dc.subject Mwongozo wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi: Mwitikio wa Tanzania katika Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, Upungufu wa Chakula na Lishe Duni en_US
dc.title Mwongozo wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi: Mwitikio wa Tanzania katika Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, Upungufu wa Chakula na Lishe Duni en_US
dc.title.alternative Tanzania katika Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, Upungufu wa Chakula na Lishe Duni en_US
dc.type Other en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu