Ghala la Mkulima

Kilimo cha Pilipili Hoho na mbinu za kudhibiti Wadudu na Magonjwa

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mogriculture Tz
dc.date.accessioned 2023-09-22T09:25:13Z
dc.date.available 2023-09-22T09:25:13Z
dc.date.issued 2023-02-28
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/735
dc.description.abstract Pilipili hoho kama linavyotambulika kitaalamCapsicum annuumni zao la mboga mboga lenye asili ya Amerika ya Kusini ambako lilisambaa mpaka sasa kulimwa katika maeneo mengi duniani yenyehali ya hewatofauti.Hapa Tanzania pilipili hoho hulimwa kwawingi katika mikoa ya Morogoro (Mgeta, Mlali) Arusha, Iringa, Kilimanjaro na Mbeya. Sehemu nyingine zinazolima pilipili hoho ni Ruvuma na Tabora. Pilipili hoho huzaa matunda ya rangi tofauti kama vile kijani, nyekundu, njano, machungwa na zambalau. Kwa Tanzania pilipili zinazolimwa kwa wingi ni zile za matunda ya kijani, nyekundu na njano en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Pilipili hoho en_US
dc.subject Magonjwa en_US
dc.subject Mbinu za kudhibiti en_US
dc.subject Wadudu en_US
dc.title Kilimo cha Pilipili Hoho na mbinu za kudhibiti Wadudu na Magonjwa en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu