Ghala la Mkulima

upandaji wa migomba ya kisasa.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author SUA
dc.date.accessioned 2023-08-25T10:33:35Z
dc.date.available 2023-08-25T10:33:35Z
dc.date.issued 2023-03-21
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/716
dc.description.abstract Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu, kufuatia mazao ya mahindi, mpunga, mtama, muhogo,viazi na mazao ya jamii ya kunde kama vile maharage. Zao la ndizi linaweza kuwa moja kati ya mazao ya biashara iwapo litazalishwa kwa kufuata kanuni bora za uzalishaji wa zao hilo, ikwa ni pamoja na kupanda aina bora ya migomba inayozaa ndizi zinazotambulika katika masoko ya kimataifa. en_US
dc.description.sponsorship SUA en_US
dc.subject upandaji wa migomba, zao la ndizi, ndizi en_US
dc.title upandaji wa migomba ya kisasa. en_US
dc.title.alternative zao la ndizi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu