Ghala la Mkulima

UZALISHAJI BORA WA KONDOO WA NYAMA

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ndemanisho, Edith
dc.date.accessioned 2023-08-25T07:42:13Z
dc.date.available 2023-08-25T07:42:13Z
dc.date.issued 2021-04-12
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/700
dc.description.abstract Kitabu hiki, “Uzalishaji Bora wa Kondoo wa Nyama” kimetayarishwa na mtaalam na mfundishaji wa somo la mbuzi na kondoo kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (kwa zaidi ya miaka 35), Profesa Edith Ndemanisho. Lengo kubwa la kitabu hiki ni kuwaelimisha wafugaji wadogo wadogo wa kondoo juu ya ufugaji wa kisasa ili kuongeza pato na lishe kwa familia. Aidha, kimetayarishwa kwa kutumia lugha rahisi inayomwezesha mkulima kuelewa yaliyomo kwa urahisi. Nchini Tanzania kuna kondoo wanaokadiriwa kufikia milioni 6.0. Hadi sasa, kuna miradi michache sana ya utafiti na maendeleo ya uzalishaji wa wanyama hawa. Wafugaji wa kondoo hawajaelimishwa juu ya mbinu mbali mbali za uzalishaji. Kwa hiyo kuna matatizo mengi yanayoathiri shughuli za uzalishaji wa kondoo ikiwa ni pamoja na ulishaji bora, uzalishaji (breeding), mabanda, magonjwa na utunzaji kwa ujumla. Soko la kondoo ni kubwa hasa katika nchi za Uarabuni na huwa wanatafuta kondoo kwa wingi kutoka Tanzania. Ni vyema wafugaji wa kondoo wakachangamkia hili soko kwani majirani zetu Kenya huwa wanao kondoo bora ila idadi yake sio kubwa kama ya nchini Tanzania. Kondoo wa nyama wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu na kuishi katika mazingira magumu kama ya maradhi na ukame ikilinganishwa na ng’ombe. Kutokana na umbile lao dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na pia wanaweza kuhudumiwa na familia yenye nguvu kazi na kipato kidogo. Uzao wao ni wa muda mfupi (anabeba mimba miezi mitano tu) unamwezesha mfugaji kupata kondoo wengi kwa kipindi kifupi. Wanyama hao hufugwa kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi, mbolea, sufu na mazao mengine kwa matumizi ya familia na kuongeza kipato. Kitabu hiki kinaeleza mbinu mbali mbali juu ya utunzaji bora wa kondoo na kimegawanywa katika sura kuu sita ambazo ni Hali ya sasa ya ufu en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine University of Agriculture en_US
dc.subject kondoo,Ufugaji,Banda,Uzalishaji en_US
dc.title UZALISHAJI BORA WA KONDOO WA NYAMA en_US
dc.title.alternative Mtunze Kondoo akutunze en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu