Ghala la Mkulima

Utafutaji Chakula na Lishe Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

Utafutaji Chakula na Lishe Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Department of Health - Australia, 2016)
    Kipeperushi kinachoelezea vyakula mbalimbali pamoja na matayarisho yake kwa ajili ya kupewa watoto/wanafunzi wanapokuwa mashuleni ili viweze kuwasaidia kutokaa na njaa lakini pia kujenga afya zao.
  • Nkuba, D. E. M; Bundala, N. H (2016)
    Utapiamlo ni miongoni mwa matatizo makubwa ya kiafya ambayo yanaathiri watoto chini ya miaka mitano, wajawazito na wanaonyonyesha, kutokana na mahitaji yao kilishe kuwa makubwa. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Food Plants International - FPI, 2016)
    This guide is based on information from the Food Plants International (FPI) database developed by Tasmanian agricultural scientist Bruce French. The source material and guidance for the preparation of the book has been ...
  • Mwandishi Hajulikani (AVRDC – The World Vegetable Center Regional Center for Africa, 2016)
    Kipeperushi kinachoelezea mapishi ya mboga mbalimbali za asili kwa ufupi.
  • Kituo cha utafiti wa kilimo (Mradi wa AGRI, 2016)
    Mbaazi za mda mfupi hukomaa kati ya siku 120 hadi125 katika maeneo ya Morogoro,Tanga, Pwani, Mtwara na Dar es salaam.Katika ukanda wa juu kwenye baridi mbaazi za mda mfupi hukomaa kwa mda mrefu zaidi ya siku 120.Mbaazi ...
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2016)
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2016-03-09)
    Je umewahi kufikiria kuwa wadudu lishe ni moja ya majawabu ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, halikadhalika lishe na kutokomeza umaskini? Kama hapana, basi fuatilia makala hii kutoka mfuko wa Umoja wa ...
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2016-06)
  • Idara ya Uvuvi (Idara ya Uvuvi,, 2016-12)
    Utunzaji na uhifadhi wa samaki huhusisha vitendo vyote vinavyofanyika kulinda ubora wake, kuanzia samaki anapovuliwa mpaka anapofika kwa mlaji. Hii inasaidia kupunguza upotevu wa viini lishe na upatikanaji wa bei ...
  • Mwandishi Hajulikani (Masha, 2016-12-25)
    Komamanga ni tunda lenye asili ya India na Persia kwa jina la kisayansi ni Punica Granatum, lakini lililetwa Marekani na wawekezaji wa Kihispania na kwa sasa limejulikana dunia nzima.
  • Mwandishi Hajulikani (Mathias Lekundayo, 2017)
    Majani ya mpera yana faida mbalimbali, makala hii inajaribu kuelezea faida hizo zitokanazo na majani ya mpera kwa afya za binaadamu.
  • Grant, Frederick K.; Mudege, Netsayi N. (International Potato Center - CIP, 2017)
    This report is based on a qualitative formative gender evaluation of the Viable Sweetpotato Technologies for  Africa (VISTA) Tanzania project implemented in seven districts in the Mbeya, Iringa and Morogoro regions,  ...
  • Mwandishi Hajulikani (Quality Assurance Project - University Research Co., LLC, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utaarishaji wa chakula kwa watoto wanaoanza kula kuanzia miezi sita
  • A (AFRI - Youth Development Services, 2017)
    Maelezo ya matumizi ya asali na mdalasini katika kutibu maradhi mbalimbali ya binaadamu kama tiba mbadala.
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, 2017)
    Lishe ina uhusiano mkubwa na afya. Lishe duni au utapiamlo unaotokana na ulaji duni na maradhi ni mojawapo ya matatizo makubwa ya afya nchini Tanzania. Utapiamlo unawaathiri zaidi watoto wenye umri chini ya miaka mitano ...
  • alex, maige (chuo kikuu cha kilimo cha sokoine, 2017)
    Kilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na competion ya soko ni almost zero. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shamba watuniashane misuli mbele yako ...
  • Mitiki, MiTiki blog. (2017-02-07)
    Chakula bora kwa Nguruwe ni moja ya suala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa Nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha Nguruwe kinagharimu kama asilimia sabini ya garama zote za ufugaji wa nguruwe. ...
  • Christopher, C. (2017-09-29)
    Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika tunda la komamanga kuna kemikali zinazozuia kansa ya matiti isitambae mwilini
  • Taasisi ya chakula na lishe (Wizara ya afya, 2017-12)
    Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC). 2013. Ulishaji wa watoto wachanga na wadogo: Bango kitita lenye ujumbe muhimu. Dar es Salaam, Tanzania: Taasisi ya chakula na lishe Tanzania na kuchapishwa kwa ufadhili wa shirika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Tanzania., 2018)
    Chakula bora ni mlo kamili ulioandaliwa kutokana na mchanganyiko wa makundi matano ya chakula

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account