xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Idara ya ukuzaji viumbe maji
dc.date.accessioned 2023-03-01T11:08:45Z
dc.date.available 2023-03-01T11:08:45Z
dc.date.issued 2022-03
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/697
dc.description.abstract Kaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). Kaa hawa huishi kwenye mikoko na mara nyingi hujichimbia kwenye tope. Kaa wanakua kwa kujivua gamba kila hatua ya ukuaji. Faida za kunenepesha kaa ni pamoja na kuongeza kuongeza uzito na ubora wa nyama, kipato, kupunguza vifo na kuhifadhi mazingira ya mikoko. en_US
dc.publisher Wizara ya Mifugo na Uvuvi, en_US
dc.subject Kaa en_US
dc.subject Vizimba en_US
dc.subject Kunenepesha en_US
dc.title Unenepeshaji wa kaa en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu