xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Bodi ya nyama Tanzania | |
dc.date.accessioned | 2023-03-01T10:43:38Z | |
dc.date.available | 2023-03-01T10:43:38Z | |
dc.date.issued | 2016-04 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/692 | |
dc.description.abstract | Nyama bora ni ile iliyo laini, yenye unyevunyevu, yenye wastani wa kiasi cha mafuta yaliyochangan- yika katika minofu na yenye rihi ya kuvutia wakati wa kupika. Nyama hii ina rangi nyekundu angavu, misuli yake haijakaza na ina uwiano mkubwa kati nyama na mifupa (nyama ni nyingi kuliko mifupa). Nyama salama ni ile isiyokuwa na mabaki ya dawa zilizotumika kutibu mifugo kabla ya kuchinjwa, iliyochinjwa na kusafirishwa kwa kuzingatia kanuni za usafi. | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi | en_US |
dc.subject | Nyama bora | en_US |
dc.subject | Mifugo | en_US |
dc.title | Nyama bora na salama | en_US |
dc.type | Article | en_US |