Ghala la Mkulima

Kanuni sahihi za ufugaji wa mbwa

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2023-03-01T09:02:59Z
dc.date.available 2023-03-01T09:02:59Z
dc.date.issued 2018-12-13
dc.identifier.citation http://farmersmarket.co.tz/kanuni-sahihi-za-ufugaji-wa-mbwa/ en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/682
dc.description Kanuni sahihi za ufugaji mbwa en_US
dc.description.abstract Mnyama huyu huaminika ndiye mwaminifu zaidi kati ya wanyama wote wanaofugwa nyumbani Kuna wale wanaomfuga pia kwa sababu humchukulia kama ‘kipenzi’ chao (pet). Je, wajua mbwa ni kitega uchumi kwa baadhi ya wanaomfuga? Mnyama huyu ametajirisha baadhi ya wafugaji wanaomthamini. Mbwa hawa hufugwa na kutunzwa kwa msingi wa malengo matatu, wale wa kunusa (sneaver dogs), wa kulinda/kuhifadhi usalama (guard dogs) na wa kuongoza (guide dogs) maafisa wa usalama. Mbwa huzaa mara mbili kwa mwaka ambapo hubeba ujauzito kwa kipindi cha siku 63 (miezi 2). Kwa kawaida mbwa mmoja huzaa kati ya vilebu 8 – 12. en_US
dc.description.sponsorship Farmers Africa en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Farmer Africa en_US
dc.subject Kanuni sahihi za ufugaji wa mbwa en_US
dc.title Kanuni sahihi za ufugaji wa mbwa en_US
dc.title.alternative Mbwa en_US
dc.type Other en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu