Ghala la Mkulima

Jinsi ya kuzuia na kudhibiti mnyoo tegu (Taenia solium) anayeathiri binadamu na nguruwe.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Nyangi, Chacha,J
dc.date.accessioned 2023-02-28T05:01:03Z
dc.date.available 2023-02-28T05:01:03Z
dc.date.issued 2021
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/675
dc.description.abstract Tatizo la minyoo Tegu ya nguruwe limetajwa kuwa ni kubwa hali ambayo inawalazimu wataalamu na wanasayansi kufanya utafiti wa kina ili kupata majibu ya tatizo hilo. Wataalamu kutoka sehemu mbalimbali duniani, wamekusanyika ili kujua jinsi ya kukabiliana na minyoo ya Tegu ya nguruwe, ambayo imedhihirishwa kitaalamu kusababisha madhara ya kiafya kwa binadamu, hususani kwa watumiaji wa kitoweo cha mnyama huyo, maarufu hapa nchini kama Kitimoto. Tafiti zimeonesha kuwa, kwa mwaka mmoja Tanzania inapoteza zaidi ya shilingi bilioni 19 kutokana na athari zinazotokana na Minyoo tegu ya Nguruwe kwa jamii ikiwemo matibabu na kutupa nyama yenye maambukizi en_US
dc.description.sponsorship CYSTINET Africa, Federal ministry of education and research en_US
dc.publisher Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo en_US
dc.subject Minyoo en_US
dc.subject Tegu en_US
dc.subject Mabuu en_US
dc.subject Kifafa en_US
dc.title Jinsi ya kuzuia na kudhibiti mnyoo tegu (Taenia solium) anayeathiri binadamu na nguruwe. en_US
dc.title.alternative Mwongozo wautekelezaji kwa vitendo. en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu