Ghala la Mkulima

Ufugaji samaki kwenye vizimba.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Idara ya ukuzaji viumbe maji.
dc.date.accessioned 2023-02-27T08:39:46Z
dc.date.available 2023-02-27T08:39:46Z
dc.date.issued 2021
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/669
dc.description.abstract Ili kuendana na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2016 - 2021) inayosisitiza Tanzania ya Viwanda, inashauriwa ufugaji wa samaki ufanyike kwa kutumia teknolojia za kisasa zenye tija kwa ajili ya kuongeza uzalishaji. Ufugaji wa samaki kwa kutumia mabwawa ndiyo njia iliyozoeleka na inayotumiwa na wananchi wengi. Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba katika maji ya asili. Mabadiliko haya kwa kiasi kikubwa yametokana na mabadiliko ya tabianchi (hususani upungufu wa mvua), uwepo wa teknolojia ya vizimba na wingi wa mavuno yanayotokana na ufugaji wa samaki kwenye vizimba. en_US
dc.publisher Wizara ya Mifugo na Uvuvi en_US
dc.subject Vizimba en_US
dc.subject Ufugaji wa samaki en_US
dc.title Ufugaji samaki kwenye vizimba. en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu