Ghala la Mkulima

Mwongozo wa kilimo cha zao la mkonge kwa wakulima

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA
dc.date.accessioned 2023-02-23T09:51:29Z
dc.date.available 2023-02-23T09:51:29Z
dc.date.issued 2022
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/663
dc.description.abstract Mkonge ni moja kati ya zao la biashara ambalo jina lake la kisayansi linaitwa Agave sisalana. Mikoa ambayo zao la mkonge linasitawi katika nchi ya Tanzania ni Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Pwani, Linda na Simiyu. Mabadiliko makubwa ya hali ya hewa, ukosefu wa vipando bora, magonjwa na wadudu waharibifu yamefanya wakulima wengi wadogo kukosa mavuno ya kutosha kwa mazao mbalimbali. Hivyo, watafiti wa zao la mkonge wanahamasisha kilimo cha mkonge kwa wakulima wadogo nchi nzima kwa kuwa zao hili linastahimili ukame, majonjwa, wadudu, magugu, ukame na hata upungufu wa rutuba kwenye udongo. Mkulima anaweza kupata faaida mbalimbali kutokana na kilimo cha mkonge hususani kama mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi kwa muda mfupi na muda mrefu. Baadhi ya faida za kilimo cha mkonge ni kama zifuatazo: (i) Ajira na kipato: Kilimo cha mkonge huweza kutoa ajira nzuri sana kwa familia kwani ni zao hili halina uhaba wa vipando na bidhaa zinazotokana na zao hili zinaweza kutumika katika sekta ya kilimo, nishati, ujenzi, famasia na ofisini. Na pia zao hili linaweza kudumu miaka 10-25 hivyo kumuhakikishia mkulima kipato cha uhakika. (ii) Matumizi bora ya ardhi: Zao hili linaloweza kuchanganywa na mazao mengine ya msimu kama kunde, mahindi, maharage, alizeti na karanga en_US
dc.publisher Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo en_US
dc.subject Mkonge en_US
dc.subject Zao la biashara en_US
dc.title Mwongozo wa kilimo cha zao la mkonge kwa wakulima en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu