xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji | |
dc.date.accessioned | 2023-02-23T09:27:59Z | |
dc.date.available | 2023-02-23T09:27:59Z | |
dc.date.issued | 2022-02 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/661 | |
dc.description.abstract | Chakula bora cha samaki ni hitaji muhimu katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya chakula duni husababisha udumavu wa samaki. Kwa kawaida, bwawa lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha asili ambacho ni nafuu na hupunguza gharama za uzalishaji. Ili kufuga kwa tija na kupata mavuno makubwa, inashauriwa mfugaji atumie chakula bora cha ziada. Ubora wa chakula ni pamoja na uwepo wa virutubisho muhimu na urahisi wa kumenge’nywa na samaki. | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Mifugo na Uvuvi | en_US |
dc.subject | Chakula cha asili | en_US |
dc.subject | Kulisha samaki | en_US |
dc.subject | Chakula bora | en_US |
dc.subject | Samaki | en_US |
dc.title | Chakula bora cha samaki | en_US |
dc.type | Article | en_US |