Ghala la Mkulima

Kilimo bora cha nyanya - Uzalishaji, Usindikaji na Upatikanaji Masoko ya Nyanya unaotilia Mkazo Kupunguza Umasikini Kwa Wakulima Wadogo wadogo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Ishengoma, C. G
dc.contributor.author Mvena, Z. S. K
dc.contributor.author Tiisekwa, B
dc.contributor.author Laswai, H. S
dc.contributor.author Reuben, S. O. W. M
dc.contributor.author Nchimbi - Msolla, S
dc.contributor.author Maerere, A. P
dc.contributor.author Ashimogo, G
dc.contributor.author Njau, P. J. R
dc.date.accessioned 2017-11-16T11:38:55Z
dc.date.available 2017-11-16T11:38:55Z
dc.date.issued 2005-08
dc.identifier.isbn 9987-422-18-77
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/60
dc.description.abstract Utafiti huu unahusika na kuboresha uzalishaji, usindikaji na upatikanaji wa masoko ya nyanya Tanzania, ikichukulia wilaya mbili kama kielelezo. Wilaya hizo ni Kisarawe tarafa ya Maneromango na Msanga na Morogoro vijijini, tarafa ya Mikese. Utafiti huu shirikishi unafanyika kati ya wakulima, watalaamu kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo Morogoro na wagani wa Kilimo kutoka wilaya zilizotajwa. Kijarida hiki kimeandaliwa ili kitumike katika kueneza mbinu mbalimbali zinazohusika na uzalishaji wa nyanya shambani. Mbinu hizi ni pamoja na kuchagua aina nzuri ya nyanya, matayarisho ya kitalu, utunzaji wa nyanya shambani na hatimaye uvunaji. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher FOCAL - SUA en_US
dc.subject Nyanya en_US
dc.subject Uzalishaji en_US
dc.subject Usindikaji en_US
dc.subject Masoko en_US
dc.subject Umasikini en_US
dc.subject Wakulima en_US
dc.title Kilimo bora cha nyanya - Uzalishaji, Usindikaji na Upatikanaji Masoko ya Nyanya unaotilia Mkazo Kupunguza Umasikini Kwa Wakulima Wadogo wadogo en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu