Ghala la Mkulima

Mwongozo wa ubora wa maziwa -

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-15T08:20:42Z
dc.date.available 2019-02-15T08:20:42Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/422
dc.description.abstract Hakuna kitakachorekebisha ubora wa maziwa yakiwa yamesha haribika kwa mfugaji. Kwahiyo utunzaji wa maziwa, usafi na kudhibiti ubora hauna budi kuzingatiwa katika hatua zote za mlolongo wa thamani ya maziwa. Uzalishaji wa maziwa yenye ubora wa hali ya juu huanzia sehemu ya kukamulia, ambayo lazima iwe safi , kavu na yenye hewa ya kutosha. Ngombe anatakiwa kukamuliwa kwenye sakafu laini isiyoteleza (saruji ikiwezekana). Sakafu hii inatakiwa iwe na mteremko kidogo ili kutiririsha majimaji na taka nyingine.. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Land O'Lakes INC en_US
dc.subject Maziwa en_US
dc.title Mwongozo wa ubora wa maziwa - en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu