Ghala la Mkulima

Namna ya kukabiliana na magonjwa ya mifugo karibu na hifadhi za wanyama Afrika Mashariki

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-15T08:20:08Z
dc.date.available 2019-02-15T08:20:08Z
dc.date.issued 2006
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/419
dc.description.abstract Kwa karne nyingi wafugaji wamekuwa wakimudu mifugo yao na nyanda za malisho kwa kuhamahama kufuatana na majira, wakitunza maeneo ya malisho kwa msimu wa kiangazi, wakihifadhi aina fulani fulani za miti, na kujiepusha na maeneo yajulikanayo kuwa na maradhi. Utaratibu huu wa kimila wa mpango wa matumizi ya ardhi ulisaidia mifugo na wanyamapori kusitawi vizuri kwenye nyika za Umasaini, ambazo hadi sasa zina idadi kubwa ya mamalia wakubwa ulimwenguni. Lakini katika miongo ya karibuni sera za serikali na kukua kwa ongezeko la watu vimesababisha kupungua kwa uhuru wa kuhamahama kwa wafugaji, ukiibana mifugo kwenye maeneo yenye nafasi ndogo. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Food and Agricultural Organization - FAO en_US
dc.subject Mifugo en_US
dc.subject Magonjwa en_US
dc.subject Wanyama en_US
dc.subject Mbuga en_US
dc.title Namna ya kukabiliana na magonjwa ya mifugo karibu na hifadhi za wanyama Afrika Mashariki en_US
dc.type Book chapter en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu