Ghala la Mkulima

Kitini cha ufugaji bora wa kuku wa asili kwa kuongeza pato la kaya masikini - Mradi wa kuongeza thamani katika Milima ya Tao la Mashariki (AVA)

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-13T07:14:17Z
dc.date.available 2019-02-13T07:14:17Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/402
dc.description.abstract Moja ya matarajio makubwa ya mradi huu wa AVA ni kusadia jamii kuibua miradi ya maendeleo mbayo ni rafiki wa misitu na mazingira. Hivyo mojawapo ya miradi iliyoibuliwa na wanakijiji wa Halmashauri ya Mvomero, Morogoro ni ufugaji wa kuku wa asili. Baada ya kuonekana fursa iliyopo katika kuondoa umasikini na kuongeza kipato cha wananchi, mradi ulifanya zoezi la kutambua kaya masikini na hivyo kuamua kuzipatia mafunzo juu ya ufugaji kuku wa asili. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la kuhufdhi misitu ya Asili Tanzania - TFCG en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.subject Umasikini en_US
dc.subject Milima ya Tao la Mashariki en_US
dc.title Kitini cha ufugaji bora wa kuku wa asili kwa kuongeza pato la kaya masikini - Mradi wa kuongeza thamani katika Milima ya Tao la Mashariki (AVA) en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu