Ghala la Mkulima

UtafutajiMisitu na Nyuki Kwa Somo "Asali"

UtafutajiMisitu na Nyuki Kwa Somo "Asali"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Sokoine university of agriculture, 2022-12-22)
    Ikiwa ni tamu kuliko sukari, je asali, ni kimiminika asilia kinachochukua nafasi ya sukari? Mtaalamu wa lishe Jo Lewin anaainisha faida za kiafya na madhara ya asali. Asali hutengenezwa na nyuki. Hutokana na mkusanyiko wa ...
  • Msalilwa, J (Idara ya Biolojia ya Misitu, Sokoine University of Agriculture - SUA, 2013)
    NYUKI NI NINI? Nyuki ni wadudu wadogo wenye uwezo wa kuruka na hutengeneza vyakula vyao wenyewe kutokana na maji matamu yanayopatikana kwenye maua ya miti na ungaunga unaopatikana katika maua. Wadudu hawa wanauwezo wa ...
  • Mutsaers, Marieke; Blitterswijk, Henk van; ’t Leven, Leen van; Kerkvliet, Jaap; Waerdt, Jan van de (CTA, 2010)
    Kitabu kinachoelezea ufugaji nyuki na mazao yanayopatikana kutokana na ufugaji huo na jinsi ya kuyaendeleza hadi kufikia hatua ya uuzaji na kujipatia faida.
  • Cramp, David (How To Content, 2008)
    This book will help you to start and continue to be a beekeeper. It offers advice in a very practical manner, with step-by-step guidance at each stage of the way. The advice and information it contains are based on general ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea ufugaji bora wa nyuki na jinsi ya kuvuna mazao yake ikiwemo asali.
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Maliasili na Utalii, 2004-08)
    Kijitabu hiki kunatoa mwongozo kwa lugha nyepesi kuhusu Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki Tanzania inayotekelezwa katika kipindi cha mwaka 2001–2010. Programu hii iliidhinishwa na Serikali mwezi Novemba 2001. Programu ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account