xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-10-04T08:56:12Z | |
dc.date.available | 2018-10-04T08:56:12Z | |
dc.date.issued | 2018-09 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/336 | |
dc.description.abstract | Muhogo ni zao lenye uwezo wa kustahimili ukame hivyo linaweza kulimwa hat sehemu zenye mvua chache. Hustawi vizuri zaidi katika sehemu zenye joto. Sehemu za baridi zao hili juchelewa sana kukomaa na pengine kushindwa kabisa kustawi. Muhogo huhitaji udongo tifutifu au wa kichanga kiasi na wenye rutuba ya wastani. Udongo mzito unaotuamisha maji haufai kwa kilimo cha muhogo. Muhogo licha ya kuwa chakula cha binadamu, una matumizi mengi. Majnai yake machanga hutumika kama mboga ijulikanayo kwa jina la kimsamvu. Majani haya yana vitamini A kwa wingi. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kilimo Hai Blog | en_US |
dc.subject | Muhogo | en_US |
dc.subject | Batobato | en_US |
dc.subject | Kisamvu | en_US |
dc.title | Kilimo cha muhogo | en_US |
dc.type | Article | en_US |