xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-10-01T07:50:56Z | |
dc.date.available | 2018-10-01T07:50:56Z | |
dc.date.issued | 2016-12 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/320 | |
dc.description.abstract | Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe na hutumika kama wanyama kazi. Zaidi ya asilimia 95 ya ng’ombe wanaofugwa hapa nchini ni wa asili ambao huzalisha nyama na maziwa kwa kiwango kidogo ikilinganishwa na wale wachache walioboreshwa. Ng’ombe walioboreshwa wamegawanyika katika makundi mawili, wale wanaofugwa kwa ajili ya nyama na wanaofugwa kwa ajili ya maziwa. Ili kuwawezesha ng’ombe kuzalisha mazao bora ya nyama, maziwa na ngozi mfugaji anapaswa kufuata kanuni za ufugaji bora ambazo ni pamoja na:- | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kilimo na Mifugo Blog | en_US |
dc.subject | Ng'ombe | en_US |
dc.subject | Ufugaji | en_US |
dc.subject | Mifugo | en_US |
dc.subject | Maziwa | en_US |
dc.subject | Nyama | en_US |
dc.title | Ufugaji bora wa ng'ombe | en_US |
dc.type | Article | en_US |