Ghala la Mkulima

Jinsi ya kulea vifaranga vya kuku - Sehemu ya kwanza (1)

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mussa, D
dc.date.accessioned 2018-09-27T07:09:15Z
dc.date.available 2018-09-27T07:09:15Z
dc.date.issued 2018-07
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/301
dc.description.abstract Napenda kuwaletea somo la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo usiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga ni lazima uzingatie yafuatayo.  Nyumba ya vifaranga nilazima ijengwe karibu na nyumba ya muangalizi hii ni kwaajiri ya kuweza kuwa karibu kwa uangalizi zaidi.  Nyumba ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa hii nikwaajili ya kupunguza maambukizi ya magonjwa.  Nyumba ya vifaranga isiruhusu unyevu, baridi na wanyama au wadudu kuingia ndani, lakini ni lazima iwe na mwanga wakutosha  Pia nyumba ya vifaranga inatakiwa kua na uwazi wa kutosha kuwezesha vifaranga kutobanana na waweze kutembea kwa uhuru.  pia ijengwe eneo ambalo haliruhusu upepo kutoka kwenye nyumba ya kuku wakubwa kuingia hii itapunguza maambukizi ya magonjwa. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Kilimo Tanzania Blog en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Vifaranga en_US
dc.subject Ndege en_US
dc.title Jinsi ya kulea vifaranga vya kuku - Sehemu ya kwanza (1) en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu