Ghala la Mkulima

UtafutajiMifugo na Uvuvi Kwa Somo "Chakula"

UtafutajiMifugo na Uvuvi Kwa Somo "Chakula"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2011)
    Mti wa Lucerne (tree Lucerne) ni aina mpya ya mmea wenye chakula cha hali ya juu kwa mifugo; na ambao pia hutumika kwa mapambo, kuzuia mmomonyoko wa udongo kwa maji au upepo, kurutubisha ardhi na kuni.
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo - ILRI, 2016)
    Kuku wana mahitaji tofauti ya vyakula kulingana na umri (vifaranga, wanaokua, wakubwa) na uzalishajili (utagaji au unenepeshaji). Ili kuku waweze kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula cha ...
  • Kuku site (Kuku site, 2024)
    Mlo kamili wa kuku ni mlo wenye virutubisho vyote muhimu anavyohitaji kuku kwa kiwango na uwiano sahihi, Virutubisho vinavyohitajika katika mlo wa kuku ni kama ifuatavyo: 1.Wanga (carbohydrates) Wanga hutumika kama ...
  • Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Chuo cha kilimo cha Sokoine, 2022)
    Samaki kama viumbe hai wengine wanahitaji kula chakula ili waishi na kukua. Katika mazingira ya asili kama vile mito, maziwa na bahari, samaki hula chakula cha asili kinachopatikana ndani ya maji. Vyakula hivyo ni pamoja ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account