xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mussa, D | |
dc.date.accessioned | 2018-09-27T07:08:30Z | |
dc.date.available | 2018-09-27T07:08:30Z | |
dc.date.issued | 2018-07 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/298 | |
dc.description.abstract | Napenda kukuletea somo kuhusu kilimo cha Muhogo. Kama kawaida kazi yangu kubwa ni kuhakikisha unafanikiwa kwenye eneo la kilimo, kwa kukuletea elimu sahihi na fursa mbalimbali zinazohisiana na Kilimo. Wiki iliyopita tuliangazia kwa kifupi fursa ya kilimo cha Papai. Leo nitapenda tuangazie fursa ya kilimo cha Mihogo. Je wajua China na Tanzania zimesaini Mkataba wa Soko la Mihogo? Kama hufamu basi nikuelezee kwa ufupi. Ni hivi, Nchi ya China ni moja ya nchi zinazotumia sana zao la muhogo. China imeingia mkataba na Serikali ya Tanzania wa soko la mihogo, ambapo Tanzania itapaswa kuuza China mhogo Tani laki moja (100,000) kwa mwaka. Hata hivyo toka mkataba huo usainiwe hadi leo mwaka mmoja tayari umepita. Ila kwa mwaka wa kwanza, Tanzania tulifanikiwa kuuza tani 10,000 pekee (sawa na asilimi 10% tu ya kiasi kinachohitajika). Hivi karibuni nilimsikia Balazi wa China nchini Tanzania, Wang Ke akisema, licha ya kuingia makubaliano na Tanzania ya kununua tani 100,000 za mihogo kwa mwaka, kwa sasa wanapata tani 10,000 pekee. Pia akashauri kuwepo kwa ushirikiano baina ya serikali, sekta binafsi na wakulima ili mihogo mingi izalishwe. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kilimo Tanzania Blog | en_US |
dc.subject | Biashara | en_US |
dc.subject | Kilimo | en_US |
dc.subject | Muhogo | en_US |
dc.title | Fursa kwenye kilimo cha muhogo | en_US |
dc.type | Article | en_US |