xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mussa, D | |
dc.date.accessioned | 2018-09-27T07:07:58Z | |
dc.date.available | 2018-09-27T07:07:58Z | |
dc.date.issued | 2018-05 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/295 | |
dc.description.abstract | FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE • Kambare ni aina ya samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko perege na aina nyingine za samaki. • Nyama ya kambare imethibitishwa kuwa na kirutubisho kijulikanacho kama Omega-3, ambacho humpunguzia mlaji uwezekano wa kupata athari za magonjwa mbalimbali kama vile saratani, shinikizo la damu, na magonjwa ya akili. − Kambare wanapofugwa pamoja na perege (kambare mmoja kwa kila perege wanne mpaka watano), hudhibiti mazaliano ya perege, hivyo kuwawezesha kukua hadi kufikia uzito mkubwa (mpaka kilo 5). | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kilimo Tanzania Blog | en_US |
dc.subject | Kambale | en_US |
dc.subject | Samaki | en_US |
dc.title | Ufugaji wa kambale kitaalamu I | en_US |
dc.type | Article | en_US |