xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mussa, D | |
dc.date.accessioned | 2018-09-27T07:07:46Z | |
dc.date.available | 2018-09-27T07:07:46Z | |
dc.date.issued | 2016-10 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/294 | |
dc.description.abstract | Alizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA UZALISHAJI Kuchagua aina bora ya mbegu • Chagua aina bora ya mbegu inayovumilia magonjwa, wadudu, inayotoa mazao mengi na kiwango kikubwa cha mafuta. • Vilevile chagua aina ya mbegu ambayo hukomaa kwa wakati mmoja ili kurahisisha uvunaji. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kilimo Tanzania Blog | en_US |
dc.subject | Alizeti | en_US |
dc.subject | Mbegu za mafuta | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha Alizeti | en_US |
dc.type | Article | en_US |