Ghala la Mkulima

Kanuni bora za kilimo cha Alizeti Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-09-27T07:07:34Z
dc.date.available 2018-09-27T07:07:34Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/293
dc.description.abstract Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Hii inatokana na uwezo wa alizeti kustawi vizuri katika mazingira mengi tofauti bila ya kuwa na utofauti mkubwa katika uzalishaji wake. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusini. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mogriculture.com en_US
dc.subject Alizeti en_US
dc.subject Mbegu za mafuta en_US
dc.subject Mafuta en_US
dc.title Kanuni bora za kilimo cha Alizeti Tanzania en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu