Ghala la Mkulima

Ufugaji bora na rahisi wa kuku wa kienyeji

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-09-20T07:49:55Z
dc.date.available 2018-09-20T07:49:55Z
dc.date.issued 2007
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/277
dc.description.abstract Kuna usemi flani unatumiwa na watu wengi sana. unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” . Hata mimi nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk. Kwa kuwa tunatamani sana kutoka katika kongwa hili la umasikini wa kipato na hali mbaya ya maisha, tunalazimika kufanya jukumu letu kuu la kumuomba sana Mungu ili atuwezeshe kujua na kufahamu mbinu mbalimbali kisha kujifunza na kufahamu kwa makini tena kwa njia rahisi mno za kututoa katika hali hii ya umaskini uliokithiri. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Jamii Forum en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.title Ufugaji bora na rahisi wa kuku wa kienyeji en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu