Ghala la Mkulima

Kutumia dume au uhamilishaji, njia ipi ni bora?

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-09-20T07:48:43Z
dc.date.available 2018-09-20T07:48:43Z
dc.date.issued 2013
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/271
dc.description.abstract Swali hili ni kubwa, na pengine zito kuliko maswali vote ambayo mkulima amekuwa akijiuliza. Ni njia ipi bora kutumia kupandisha mfugo? Je atumike dume anayefugwa na mfugaji moja kwa moja au itumike teknolojia ya Uhamilishaji? Pamoja na uhamilishaji kupewa kipaumbele duniani kote, wafugaji wengi wa Tanzania bado wanatumia dume moja kwa moja katika kupandisha mifugo yao. Sababu kubwa zinazotolewa za kutumia dume moja kwa moja ni pamoja na urahisi wa kutumia, unafuu wa gharama, upungufu au ukosekanaji wa huduma hususani vifaa vya teknolojia ya uhamilishaji na pia uelewa mdogo wa faida ya teknolojia ya uhamilishaji. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher PANTIL - SUA en_US
dc.subject Ufugaji en_US
dc.subject Uhamilishaji en_US
dc.subject Mifugo en_US
dc.title Kutumia dume au uhamilishaji, njia ipi ni bora? en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu