Ghala la Mkulima

Tekinolojia ya wanyamakazi

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-07-03T10:07:57Z
dc.date.available 2018-07-03T10:07:57Z
dc.date.issued 2013
dc.identifier.isbn 9987-422-10-1
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/242
dc.description.abstract Maendeleo vijijini hutegemea sana matumizi ya teknolojia. Kwa kuwa zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania huishi vijijini kwa kutegemea shughuli za kilimo, ni wazi basi maendeleo yao hayawezi kupatikana bila kuendeleza kwanza teknolojia ya kilimo. Mara baada ya uhuru serikali ya Tanzania iliweka sera ya kuendeleza matumizi ya zana za kisasa katika kilimo. Mkazo mkubwa ulikitwa katika usambazaji wa matrekta vijijini. Hatua hiyo ya serikali haikuweza kuleta mabadiliko kwa wakulima wengi. Sababu kuu ya kushindwa huko ni uwezo mdogo wa wakulima kugharamia matunzo na uendeshaji wa matrekta hayo. Kwa kutambua hilo, mradi wa Uboreshaji wa Matumizi Endelevu ya Wanyamakazi ulibuniwa chini ya mradi mkuu wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo (TARP II-SUA). Lengo kuu la mradi huu lilikuwa ni kuhamasisha na kupanua wigo wa matumizi endelevu ya wanyamakazi vijijini. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania (Mradi wa TARP II - SUA) en_US
dc.relation.ispartofseries TS2;121
dc.subject Wanyamakazi en_US
dc.subject Punda en_US
dc.subject Ng'ombe en_US
dc.title Tekinolojia ya wanyamakazi en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu