xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-06-22T08:31:21Z | |
dc.date.available | 2018-06-22T08:31:21Z | |
dc.date.issued | 2010 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/205 | |
dc.description.abstract | Mwaka 2008/9 RLDC ilifanya majaribio ya mfumo wa ufugaji wa kuku wa asili kupitia vikundi vidogo vya wafugaji wa vijijini katika vijiji vya Bupandagila na Mbiti, Wilayani Bariadi katika Mkoa wa Shinyanga. Huu ni ufugaji wa ushirika unaolenga kusaidia wazalishaji wadogo wa mazao ya kuku. Utaratibu huu unahusisha mgawanyo wa kazi katika ufugaji ili kurahisisha na kusaidiana majukumu na gharama. Lengo kubwa la majaribio haya ilikuwa ni kuona kama mfugaji mmoja angepunguziwa majukumu yake katika uzalishaji ili kuongeza uwezo wake wa uzalishaji. Vijiji husika vilifanikiwa kuongeza uzalishaji kutoka wastani wa kuku watano hadi kufikia kuku mia moja katika miezi michache. Mafanikio ya mradi huu ndio chachu iliyofanya RLDC kuona umuhimu wa kufundisha na kudurufu mfumo huu katika maeneo mengine ya nchi na kuweka wazi kwa watu wengine ambao watakuwa tayari kujihusisha na ufugaji wa kisasa na kibiashara wa kuku wa asili bila usaidizi wa wafadhili. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Rural Livelihood Development Company - RLDC | en_US |
dc.subject | Kuku | en_US |
dc.subject | Kuku wa asili | en_US |
dc.subject | Kuku wa kienyeji | en_US |
dc.subject | Ufugaji | en_US |
dc.subject | Ndege | en_US |
dc.title | Ufugaji wa kuku wa asili - Sehemu ya Kwanza | en_US |
dc.type | Book | en_US |