Mwandishi Hajulikani (HDRA Publishing, 2006)
Mti wa mwarobaini unayo matumizi na faida nyingi, lakini hapa tutajadili umuhimu wa mti
huu katika kuzuia na kukabili wadudu na magonjwa ya mimea. Duniani kote, theluthi moja
ya vyakula vilivyo shambani au kuhifadhiwa ...