Bodi ya nyama Tanzania
(Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 2016-04)
Nyama bora ni ile iliyo laini, yenye unyevunyevu,
yenye wastani wa kiasi cha mafuta yaliyochangan-
yika katika minofu na yenye rihi ya kuvutia wakati
wa kupika. Nyama hii ina rangi nyekundu angavu,
misuli yake haijakaza ...