Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-11-02)
    Kiungo maarufu katika sehemu nyingi za dunia, giligilani ni shujaa asiyejulikana wa vyakula vya Kihindi. Na sasa mpishi mmoja anataka kukifufua, akiipa giligilani "utukufu unaostahili". Ukichunguza ndani ya viboksi vyovyote ...
  • Mtanzania Digital; Patricia, Kimelemeta (Mtanzania Digital, 2017)
    Shayiri ni zao la nafaka, linalotokana na nyasi zikuazo kwa mwaka‘Hardeum vulgare’ shayiri hutumika hasa kulishia mifugo huku kiasi kidogo kikitumika kutengenezea vileo(Bia na vinywaji vingine) na kwenye chakula chenye nguvu
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-11-25)
    Tangawizi ni nini? Tangawizi ni ya familia moja kama manjano na iliki. Asili ya Asia ya Kusini-Mashariki, India na China, tangawizi ni sehemu ya lishe ya eneo hili na inathaminiwa kwa harufu yake, upishi na dawa. Ingawa ...
  • Lyimo-Macha, R. E; Malimbwi, R. E; Kiranga, E; Kawamala, P (TARP II-SUA Project, 2004-06)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mogriculture TZ, 2017-06)
    Katika makala hii utajifunza mbegu bora mpya mabalimbali za mahindi zilizofanyiwa tafiti na vituo vya utafiti wa mazao ya kilimo hapa Tanzania. Kwa kila mbegu utafahamu kituo cha utafiti kilichozalisha hiyo mbegu, mahali ...
  • Malekani, Andrew (Sokoine University of Agriculture, 2021-05-15)
    Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa mbinu bora za uzalishaji wa Zabibu kwa mkulima wa kawaida, pia tumetumia lugha rahisi ili kumuwezesha mkulima kuelewa kwa urahisi, pia kimetumia michoro mingi ili kumsaidia mkulima kuona ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account