Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2017)
    Maharage ni zao maarufu zaidi duniani kati ya mazao mengine ya jamii ya mikunde. Maharage yalifika Tanzania miaka mia tatu (300) iliyopita. Nchini Tanzania na sehemu kubwa ya Afrika Mashariki, maharage yanazalishwa kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2016)
    Maharage ni zao maarufu zaidi duniani kati ya mazao mengine ya jamii ya mikunde. Maharage yalifika Tanzania miaka mia tatu (300) iliyopita. Nchini Tanzania na sehemu kubwa ya Afrika Mashariki, maharage yanazalishwa kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2016)
    Maharage ya Soya asili yake ni bara la Asia ya Mashariki, na yaliletwa bara la Africa mwishoni mwa miaka ya 1800, na kwa Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1900. Kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya maharage ya soya katika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International, 2016)
    Maharage ya Soya asili yake ni bara la Asia ya Mashariki, na yaliletwa bara la Africa mwishoni mwa miaka ya 1800, na kwa Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1900. Kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya maharage ya soya katika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2016)
    Maharage ya Soya asili yake ni bara la Asia ya Mashariki, na yaliletwa bara la Africa mwishoni mwa miaka ya 1800, na kwa Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1900. Kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya maharage ya soya katika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International, 2000)
    Maharage ya soya asili yake ni bara la Asia Mashariki, na yaliletwa Afrika mwishoni mwa mwaka 1800 na kwa tanzania mwanzoni mwa mwaka 1900. Kumekuwa nao ngezeko la matumizi ya maharage ya soya katik kuimarisha lishe kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International, 2014)
    Maharage ni zao maarufu zaidi duniani kati ya mazao mengine ya jamii ya mikunde. Maharage yalifika Afrika Mashariki miaka 300 iliyopita. Nchini Tanzania na sehemu kubwa Afrika Mashariki , maharage yanazalishwa kwa ajili ...
  • Gregory, P (The Food and Environment Research Agency - FERA, 2009)
    Imetambulika ya kuwa ufugaji wa nyuki inaweza kuwapa watu wa mashambani njia ya kujipatia mapato zaidi. Ijapokuwa ufugaji wa nyuki sio rahisi kila wakati. Nyuki wanaweza kudunga mara nyingi bila kutarajiwa. Uvunaji wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-09)
    Kwa maisha yetu hususani mijini ni vigumu kulima mbogamboga nyumbani hivyo tumekua tukitegemea mboga za kununua ambazo mara nyingine zimekua si salama kwa matumizi ya binadamu kutokana na maeneo zinapolimwa hata maji ...
  • Bustani ya Tushikamane (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2015)
    Kitalu ni sehemu maalumu iliyopangiliwa kwa ajili ya kutunzia miche michanga kabla ya kuipeleka shambani ama bustanini. Sio mimea yote inahitaji vitalu ila mimea mingi inahitaji vitalu. Mimea kama mahindi, maharage, karoti, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 2016)
    In Tanzania, the youths provide an opportunity for increased economic development through their involvement in agriculture, which is the main activity in rural areas. The Tanzanian population and housing census (PHC, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation ACP-EU - CTA, 2016-04)
    Jarida la CTA kwa nchi za ACP juu ya kilimo na mazingira
  • Mwandishi Hajulikani (Baraza la Taifa la Biashara Tanzania - TNBC, 2008)
    Maelezo ya mpango wa utekelezaji wa Kilimo Kwanza hatua kwa hatua na wanaowajibika na hatua hizo.
  • Lasway, Octavian J (2022-07-20)
    Jua kali utakabiliana nalo kwa kujua aina ya udongo ulionao mfano kama udongo wako unahifadhi sana maji na jua kali lipo ila bado uhifadhi wamaji ni mkubwa hapa utapaswa kukabiliana na hali hii kwa kumwagilia mara moja ...
  • Bodi ya nyama Tanzania (Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 2016-04)
    Nyama bora ni ile iliyo laini, yenye unyevunyevu, yenye wastani wa kiasi cha mafuta yaliyochangan- yika katika minofu na yenye rihi ya kuvutia wakati wa kupika. Nyama hii ina rangi nyekundu angavu, misuli yake haijakaza ...
  • Nyanya 
    Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-03-17)
    Gramu 80 za nyanya hutoa karibu 5% ya mahitaji ya kila siku ya potasiamu ya mtu mzima. Ulaji wa vyakula vyenye potasiamu husaidia mtumiaji dhidi ya ugonjwa wa kiharusi na inaweza kuhusishwa na kiwango cha chini cha ugonjwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Mwongozo wa uchaguaji wa mbegu bora na ulimaji wa nyanya chungu/nogwe kwa ajili ya kupata mavuno mazuri kwa soko la uhakika.
  • Mwandishi Hajulikani (Selian Agricultural Research Institute - SARI, 2016)
    Mbaazi ni zao la biashara, linaongeza rutuba na ni chanzo cha protini kwa kaya. Unaweza kupanda mbaazi yenyewe au ukachanganya na mazao mengine kama vile mahindi, mtama, viazi vitamu na mihogo. Kilimo mseto cha mahindi na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Reseach Institute - KARI, 2008)
    Alizeti ni mmea unaotumika sana kama mmea wa mafuta katika Kusini Magharibi mwa Kenya. Ni mmea wa mauzo ya thamani ya juu na hutoa mafuta ya hali ya juu. Hata hivyo, ukuzaji wake ni wa kiwango cha chini kwa sababu ya ...
  • Kituo cha utafiti wa Kilimo Makutupora (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Ukanda wa Tropiki (IITA),, 2019)
    Karanga ni zao lenye viini lishe vya protini na mafuta kwa wingi. Mabaki ya mimea ya karanga pia yana viini lishe vya protini, hivyo ni chakula kizuri cha mifugo.Karanga pia huboresha rutuba ya udongo kwa kuongeza kiasili ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account