Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Starke Ayres, 2014)
    The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia and has developed ...
  • Carrots 
    Mwandishi Hajulikani (2000)
    The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia. Initially the ...
  • Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2022-02)
    Chakula bora cha samaki ni hitaji muhimu katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya chakula duni husababisha udumavu wa samaki. Kwa kawaida, bwawa lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha asili ambacho ni nafuu na hupunguza gharama ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-10-04)
    Pengine umesikia kuhusu uhandisi jeni wa vyakula (GMO) na unaweza ukawa unajiuliza inahusu nini, hapa tunakueleza. Kenya wiki hii imeidhinisha kilimo na uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba, (GMO) na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo cha Mipango na Maendeleo ya Jamii - IRDP, 2014)
    Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya na ni mfano wa utendaji bora katika kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kuwezesha jamii kufanya majaribio, tathmini na kutumia mbinu 26 za ubunifu kukabiliana ...
  • Babili, H. I (Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza - ICE (SUA), 2017-08)
    Kipeperushi kunachoelezea ugonjwa wa nyanya "Kanitangaze"
  • Agriculture, U.S. department (U.S. DEPARTMENT OF AGRICULTURE., 1975-04-30)
    The most effective control measures for raspberry and blackberry diseases are those taken before the diseases become serious. Varieties adapted to a locality and resistant to the major diseases should be planted, if ...
  • Mwandishi Hajulikani (Adama-Agan Ltd, 2014)
    COTTORAN ni kiua gugu cha kuua magugu aina ya majani mapana kwenye pamba. Cottoran inatumika kwenye maandalizi ya shamba kuzuia magugu kabla ya kupanda , na hata baada ya kupanda ila kabla mbegu hazijaanza kuota ...
  • Tekai, Maasaki (Safe Vegetable Promotion Project in Benguet - Japan, 2010)
    Usually Japanese farmers are producing strawberries from November to May. Most strawberry varieties in Japan are WINTER TYPE varieties. Hence, Japan imports strawberries in the off-season (May to November). However, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mwananchi Co. TZ, 2013-05)
    Makala iliyochapishwa katika Gazeti la Mwananchi na kudhaminiwa na BEST-AC kuhusiana na mazingira yanayotishia uzalishaji wa zao la korosho ambapo imeonekana miongoni mwa sababu hizo kuwa Kuna haja kubwa ya kupata miche ...
  • Mwandishi Hajulikani (Crop Protection Compendium - CABI, 2014-09)
    Doa jani la kijivu la mahindi umeibuka kama ugonjwa ulioweka kikwazo kwa mazao ya mahindi nchini Marekani na kusini mwa Afrika katika miaka 25 iliyopita. Ingawa ulidhaniwa kuwa aina moja ya kuvu, Cercospora zeae-maydis, ...
  • Mkomwa, S. A.; Aboud, A.A.O. (Future opportunities and challenges in agricultural learning (FOCAL) programme, 2005-05-23)
    The future opportunities and challenges in agricultural learning (FOCAL) is a NORAD funded project coordinated at Sokoine university of agriculture. The primary mission of FOCAL is to support farmers efforts towards ...
  • CTA (CTA, 2007-10-09)
    In Eastern Africa, reduced soil fertility has led to declining crop yields on many small-scale farms causing food insecurity and greater poverty. Throughout the region, soils are generally low in nitrogen and phosphorus ...
  • Mwandishi Hajulikani (Muungwana Blog, 2018-10)
    Kabichi ni moja ya mazao yaliyomo katika jamii ya mimea inayojumuisha mimea ya kaulifulawa (cauliflower ), kabichi ya kichina na kale. Kwa kawaida kabichi hupandwa kwa msimu mmoja, lakini iwapo itakuzwa kwa ajili ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Brilliantus blog, 2016-10)
    Asili ya kilimo cha matango inaaminika kuwa ni kaskazini magharibi mwa India ambako yamekuwa yakilimwa kwa zaidi ya miaka thelathini sasa. Hata hivyo kwa sasa, matango, hustawishwa katika sehemu nyingi za kitropiki. ...
  • Joack Company, Joack Company (Joackcompany.business, 2021-10-21)
    Kilimo cha miwa ni kilimo chenye tija kwa mkulima, kilimo hiki kinaweza kufanywa na mtu yeyote yule aidha awe ameajiliwa au laaa.
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-09)
    Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua angalau kiasi cha masaa 6 kwa siku. Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye ...
  • Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Uzalishaji wa mboga mara nyingi unahusisha matumizi ya viuatilifu vyenye kemikali. Wakulima baadhi hawawezi kumudu gharama kubwa za viuatilifu hivi, ambavyo visipotumika vizuri – huweza kuleta madhara, kama kuharibu ...
  • Wizara ya kilimo (Wizara ya kilimo, 2023-07-13)
    Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinywaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake.Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika siku zijazo. Virutubisho ...
  • Shirika la chakula duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-08)
    Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo.

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account