xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-06-22T07:51:33Z | |
dc.date.available | 2018-06-22T07:51:33Z | |
dc.date.issued | 2012-08 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/197 | |
dc.description.abstract | Silage ni chakula maalum kinachotengenezwa kwa kutumia aina yoyote ya malisho yanayofaa kwa mifugo kama majani, nyasi, mabua ya mahindi, mtama na ufuta. Kwa kawaida silage hutengenezwa wakati wa mvua ambapo majani hukua kwa haraka na kukatwa tena na tena mpaka kiangazi kitakapoanza, kama una shamba binafsi la majani ya napier unaweza ukawa unayaka kila baada ya wiki sita katika kipindi cha mvua. Silage utokea baada ya majani kuozeshwa na vimelea katika mfumo usiotumia oxijeni (anaerobic fermentation). | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.subject | Silage | en_US |
dc.subject | Chakula cha mifugo | en_US |
dc.subject | Wanyama | en_US |
dc.subject | Lishe | en_US |
dc.subject | Kiangazi | en_US |
dc.subject | Majani | en_US |
dc.title | Silage - chakula bora cha mifugo wakati wa kiangazi | en_US |
dc.type | Article | en_US |