Ghala la Mkulima

Athari za vizuizi vya ushuru na visivyo vya ushuru katika kuuza mazao makuu ya chakula, kwa ustawi wa wakulima wadogo.

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-13T08:11:56Z
dc.date.available 2018-06-13T08:11:56Z
dc.date.issued 2012
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/161
dc.description.abstract Kwa nia ya kupambana na viashirio vya uhaba wa chakula ambavyo zaidi husababishwa na hali mbaya ya hewa, Serikali imekuwa na sera ya kuzuia uuzaji wa aina kuu za vyakula nje ya nchi. Hufanya hivyo kwa kisingizio cha kuhakikisha taifa lina chakula cha kutosheleza mahitaji ya wananchi wakati wote. Aidha, Serikali inaamini kwamba vizuizi hivyo ni hatua ya kuwa na chakula kingi nchini na kuwawezesha walaji wamudu bei yake. Uwepo wa vizuizi vya kusafirisha mazao nje ya nchi na vikwazo vya kibiashara na makusudio yake, yaliibua mijadala mikubwa. en_US
dc.description.sponsorship AGRA en_US
dc.publisher Economic and Social Research Foundation - REPOA en_US
dc.subject Masoko en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.subject Mazao ya chakula en_US
dc.subject Sera en_US
dc.title Athari za vizuizi vya ushuru na visivyo vya ushuru katika kuuza mazao makuu ya chakula, kwa ustawi wa wakulima wadogo. en_US
dc.title.alternative TANZANIA MARKETS PAN: Masoko ya Kitanzania-PAN en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu