Ghala la Mkulima

Bustani za uyoga kwa wakulima wadogo vijijini uyoga aina ya oyster, shiitake na wood-ear

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Oei, P
dc.contributor.author Nieuwenhuijzen, B
dc.date.accessioned 2018-06-13T08:08:29Z
dc.date.available 2018-06-13T08:08:29Z
dc.date.issued 2008
dc.identifier.isbn 978-9987-9214-1-6
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/147
dc.description.abstract Kulima bustani za uyoga ni shughuli inayotimiza kikamilifu kilimo endelevu na zipo faida kadhaa: ? Taka na makapi ya mazao hutumika vema. ? Uzalishaji wa juu kwa kila meta mraba wa ardhi huwezekana. ? Baada ya kuvuna uyoga, makapi ya uyoga ni mbolea. Agrodok hii inatoa maelezo kamilifu juu ya namna ya kustawisha aina tatu za uyoga-oyster, shiitake na wood ear. Aina hizi za uyoga hasa ni rahisi kustawishwa kwa wakulima wadogo. Kustawisha aina nyingi- nezo za uyoga kama white button na inayotokana na nyasi za mpunga ni utaalam tofauti sana kwa hiyo kitaandikwa kijitabu tofauti cha Agrodok kwa aina hizo mbili za uyoga wa white button na nyasi za mpunga. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Agromisa Foundation en_US
dc.subject Uyoga en_US
dc.subject Bustani en_US
dc.subject Uyoga-oyster en_US
dc.title Bustani za uyoga kwa wakulima wadogo vijijini uyoga aina ya oyster, shiitake na wood-ear en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu