Ghala la Mkulima

Baiashra ya ufugaji bora wa kuku wa asili: kitabu cha mwongozo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-02-23T11:55:25Z
dc.date.available 2018-02-23T11:55:25Z
dc.date.issued 2008
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/116
dc.description.abstract Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana hupewa mabaki ya chakula, chenga, pumba au nafaka yoyote inayopatikana katika mazingira husika. Kwa walio wengi ifikapo nyakati za jioni, kuku hulala jikoni au ndani nyumbani kwa mfugaji mwenyewe. Ufugaji huu ni rahisi kwa kuwa hauna gharama kubwa ila faida yake ni kitoweo tu au fedha kidogo sana. Kutokana na lishe duni na kuzaana wenyewe kwa wenyewe (bila kubadili jogoo), kuku wa kienyeji walio wengi wana uzito mdogo. Wana wastani wa uzito wa robo tatu za kilo hadi kilo moja wakiwa na umri wa zaidi ya mwaka mmoja. Ila wakitunzwa vizuri zaidi na kuboreshwa wana uwezo wa kufikia uzito wa kilo moja hadi moja na nusu katika umri wa miezi sita hadi nane. Kwa upande wa utagaji wa mayai kuku wa kienyeji kwa wastani hutaga mayai 50 hadi 65 kwa mwaka. Wakitunzwa vizuri zaidi huweza kufikia uzalishaji wa mayai 80 hadi 100 kwa mwaka. Kijitabu hiki kinatoa maelezo ya njia na kanuni mbalimbali rahisi za kuzingatia ili mfugaji aweze kuzitumia kupata mazao mengi na bora zaidi yatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine. Kanuni hizi ni pamoja na: √ Kuchagua njia bora ya kufuga na sifa za mabanda bora ya kuku √ Kuchagua aina bora ya kuku wa kufuga, kuzaliana na kutotolesha √ Utunzaji wa vifaranga √ Kutengeneza chakula bora cha kuku √ Kudhibiti na kutibu magonjwa √ Kutunza kumbukumbu √ Kutafuta masoko en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Rural Livelihood Development Company - RLDC en_US
dc.subject Kuku wa asili en_US
dc.subject Kuku en_US
dc.subject Biashara en_US
dc.title Baiashra ya ufugaji bora wa kuku wa asili: kitabu cha mwongozo en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu