Ghala la Mkulima

Ongeza maziwa na upunguze gharama kwa kulisha mifugo kaliandra

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Lyamchai, C. J
dc.contributor.author Kweka, E. S
dc.contributor.author Mwikari, M. M
dc.contributor.author Kingamkono, M. N
dc.contributor.author Wambugu, C
dc.date.accessioned 2018-02-23T10:34:04Z
dc.date.available 2018-02-23T10:34:04Z
dc.date.issued 2005
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/113
dc.description.abstract Kaliandra (Calliandra calothyrsus) ni mmea aina ya mikunde wenye asili ya Amerika ya Kati na Mexico. Ulipandwa mara ya kwanza nchini Indonesia kwa ajili ya kivuli katika mashamba ya kahawa, lakini kwa sasa mti huo umeonyesha faida zaidi kwa kutumika kama chakula cha mifugo, kuni na kuhifadhi udongo. Katika nchi nyingi ikiwemo Kenya, Tanzania na Uganda, Kaliandra hutumika kama lishe ya ng’ombe wa maziwa na mifugo wengine. Kaliandra ina kiasi kikubwa cha protini (asilimia ishirini hadi ishirini na tano) na huchanganywa na aina nyingine za majani yenye kiwango kidogo cha protini kama vile matete au majani tembo (Napier kwa Kiingereza) ili kuongeza lishe kwa mifugo, uzalishaji wa maziwa na kiasi cha mafuta katika maziwa. Ijapokuwa Kaliandra haichavulishwi na nyuki, imekuwa chanzo kikubwa cha asali. Nchini Indonesia, nyuki wameweza kutengeneza kilo elfu moja ya asali kwa mwaka kutoka ekari mbili za shamba iliyopandwa Kaliandra. Faida zingine ni kuboresha uchavushaji wa kahawa na kuni ambazo hukauka vizuri na kuwaka kwa urahisi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher World Agroforestry Centre - ICRAF en_US
dc.subject Kaliandra en_US
dc.subject Ng'ombe en_US
dc.subject Maziwa en_US
dc.subject Chakula cha mifugo en_US
dc.subject Calliandra calothyrsus en_US
dc.title Ongeza maziwa na upunguze gharama kwa kulisha mifugo kaliandra en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu