Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa Somo "Biashara"

Utafutaji Kwa Somo "Biashara"

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2008)
    Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana ...
  • Muhura, Chiraka (Haki Elimu, 2021)
    Nchi nyingi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kwa mfano, zimejaliwa raslimali ambazo zinaweza kub- adilishwa kuwa mali. Lakini suala ni jinsi ya kuzigeuza raslimali hizo ili kuwa vitu halisi. Elimu isiyofaa imeelezwa kuwa ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-07)
    Napenda kukuletea somo kuhusu kilimo cha Muhogo. Kama kawaida kazi yangu kubwa ni kuhakikisha unafanikiwa kwenye eneo la kilimo, kwa kukuletea elimu sahihi na fursa mbalimbali zinazohisiana na Kilimo. Wiki iliyopita ...
  • Tiisekwa, B. P. M; Ndibakunze, B. K; Suleiman, R; Tiisekwa, A. B; Chove, B (Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2011-11)
    Kipeperushi kinachoeleza jinsi ya usindikaji wa jiusi ya makakara - passion kwa ajili ya biashara.
  • Tiisekwa, F. A; Kashindye, A (ASARECA, 2011-10)
    Baada ya kusoma kijitabu hiki msomaji anatefgemewa kuweza: - Kutunza vizuri kumbukumbu na hati za biashara. - Kuujua umuhimu na thamani ya kumbukumbu za biashara. - Kuzitathmini benki na kuweza kuchagua akaunti ya benki ...
  • Razack, O. M; Lyimo-Macha, J. G (TARP II-SUA Project, 2002-06)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Norway cha Kilimo, kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo ...
  • Tiisekwa, B. P. M; Ndibakunze, B. K; Suleiman, R; Tiisekwa, A. B (Idara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUA, 2011-02)
    Matunda na mbogamboga ni mazao muhimu katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, kama yalivyo muhimu katika ulimwengu wote. Mazao haya ni chanzo cha vitamini, madini, antioxidants, kambakamba za chakula and wanga ambayo ni ...
  • Ruto, Grace; Odhong', Charles (Vi Agroforestry, 2016)
    MWONGOZO HUU UMEANDALIWA ILI KUWEZESHA KUWAFUNDISHA wakulima katika ukuzaji wa biashara, hivyo kuwezesha wakulima wanaofanya kilimo cha kujikimu kubadilisha kutoka kulima kwa ajili ya chakula cha familia tu hadi kilimo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - Mkoa wa Simiyu, Tanzania, 2017)
    Karibu Mkoa wa Simiyu. Mwongozo wa Uwekezaji wa mkoa wa Simiyu umeandaliwa sambamba na sera ya uwekezaji ya Tanzania. Unaainisha fursa za uwekezaji zinazopatikana katika mkoa wa Simiyu. Vile vile unaendana na dira ya mkoa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2022-03)
    Kulingana na taarifa za Kituo cha Utafiti wa Udongo cha Mlingano (TARI-Mlingano) Tanzania ina jumla ya Kanda kuu saba (7) za Kiutafiti wa Kilimo na Kanda ndogo 64 za kiikolojia zinazoonyesha aina ya mazao yanayoweza ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International, 2014-09)
    Zao la muhogo limekuwa likifanyiwa biashara katika miji mbalimbali hapa Tanzania. Wanawake wafanya biashara wadogo wadogo wamekuwa wakiuza mihogo katika viunga mbalimbali vya miji katika foleni za magari na pia idadi ya ...
  • Makindara, J. R (2005)
    Kijitabu kinazungumzia kwa ujumla mambo ya kuangalia katika ujasiriamali uanzishaji na uendeshaji wa biashara katika mazingira ya Tanzania
  • Mpagalile, J. J; Balegu, W; Laswai, H; Makindara, J; Mwinuka, V; Mella, O; Msolla, M; Kundi, S; Gowele, V; Chaula, D (Idara ya Sayansi ya vyakula na Tekinolojia, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utaarishaji bora wa unga wa mtama kwa ajili ya kuingiza sokoni

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account