Wizara ya Kilimo
(Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar, 2013-10)
Ndugu wakulima, kupata chakula cha kutosha na kilicho bora kwa kila
mwananchi ni suala gumu ambalo linahitaji mipango na mikakati mizuri
ya serikali kupitia Wizara husika. Matatizo makubwa yanayowakabili
wananchi ni ...