Ghala la Mkulima

Utafutaji Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

Utafutaji Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Kisenga, Narcis (MUMARU (REMP)Mradi wa Usimamizi wa Mazingira Rufiji, 1999)
    Tokea zama za kale binadamu wamekuwa wakitafuta asali inayozalishwa na nyuki. Kwa azma hiyo shughuli yoyote ya ufugaji nyuki ni kuendeleza zaidi ufanisi wa haya. Binadamu na nyuki hutegemeana. Kwani kwa upande wa nyuki ...
  • Idara ya uhusiano na elimu a wakulima mamlaka ya pamba Tanzania (kiwanda cha uchapaji cha taifa, 1999)
    PAMBA ni zao ambalo hustawi vizuri sana katika sehemu kubwa ya nchi yetu. Pamba hustawi katika udongo wa aina mbali mbali mradi tu maji yawe yanapenya kwa urahisi na usiwe na chachu (acidic) kwa wingi. Kiasi cha inchi ...
  • Halmashauri ya Taifa ya Mazao (Halmashauri ya Taifa ya Mazao, 1999)
    The aim of this pamphlet is to supplement our earlier ones like the “Official Handbook” and “Halmashauri ya Taifa Isimamiayo Mazao” in making the citizens of this country more informed about their National Agricultural ...
  • Mwandishi Hajulikani (Warehouse Receipts Regulatory Board, 2000)
    Mfumo wa Stakabadhi za Maghala ni mfumo unaotumika nchini wa kutumia bidhaa zilizohifadhiwa kwenye maghala badala ya mali zisizohamishika kuwa dhamana ya kupata mikopo kutoka asasi za fedha. Mfumo kama huu pia unatekelezwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (2000)
    Maandalizi sahihi ya shamba ni jambo la msingi katika kuboresha kilimo cha umwagiliaji wa mpunga. shamba lisipoandaliwa vema husababisha mbinu bora zinazoshauriwa kutoonyesha matokeo katika kiwango kinachotarajiwa hasa ...
  • Mwandishi Hajulikani (2000)
    Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali.
  • Mwandishi Hajulikani (JICA, 2000)
    Kijitabu ambacho kimekusanya taarifa mbali mbali zikiwemo za ulimaji wa mboga mboga, matunda, kilimo, uhifadhi na usindikaji wa mazao, matumizi ya maji, kutunza udongo, ujenzi wa nyumba na masuala yahusuyo vikundi vya ...
  • Carrots 
    Mwandishi Hajulikani (2000)
    The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia. Initially the ...
  • SACCOS 
    Mwandishi Hajulikani (Unkown, 2000)
    Mwongozo wa uendeshaji na uratibu wa vikundi vidogo vidogo ya kuchangiana - SACCOS
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane - Kilimo Hai, 2000)
    Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake. Hulimwa nyanda za baridi kwa wingi sana. Nyanda zenye joto vitunguu hulimwa pia. Tanzania vitunguu hulimwa sana sehemu za Mang’ula, Mgeta na Singida. Hata ...
  • Laswai, G. H; Mnembuka, B. V; Lugeye, S. C (SUA - TU Linkage Project, 2000)
    Kijitabu hiki kimetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya wafugaji wa sungura katika Tanzania. Kinajihusisha zaidi na kanuni muhimu ambazo mfugaji wa sungura anapashwa kuzifuata au kuzingatia wakati akitunza wanyama hawa.
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane, 2000)
    Moringa (Moringa spp.) maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko yote duniani. Mti huu ukuao haraka hupandwa katika maeneo mengi na hutumika kama chakula cha binadamu, lishe ya mifugo, tiba mbadala na kusafisha maji.
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International, 2000)
    Maharage ya soya asili yake ni bara la Asia Mashariki, na yaliletwa Afrika mwishoni mwa mwaka 1800 na kwa tanzania mwanzoni mwa mwaka 1900. Kumekuwa nao ngezeko la matumizi ya maharage ya soya katik kuimarisha lishe kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Dan Church Aid - Denmark, 2000)
    Carrots are widely grown in the mid and highlands of Ethiopia. They have high content of carotene (a precursor of vitamin A) which prevents night blindness. They also contain appreciable qua ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya elimu, 2000-03-12)
    Kitabu boo kimetayarishwa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi wanaohusika na utekelezaji wa mipango ya huduma za chakula cha mchana katika shule za msingi. Watakaoshirikishwa katika mafunzo hayo kwenye ngazi mbalimbali ...
  • Mtenga, N (TARP II-SUA Project, 2001)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway, kinatekeleza mradi huu wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo ...
  • Lyimo-Macha, J. G; Batamuzi, E. K; Tarimo, A. J. P (TARP II - SUA Project, 2001)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula, pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima ...
  • Mtenga, N (TARP II-SUA Project, 2001)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway, kinatekeleza mradi huu wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Food and Agriculture Organization of the United Nations - FAO, 2001)
    Since 1995, FAO AGSE has worked to improve the safety and efficiency of pesticides within systems of sustainable agriculture and integrated pest management (IPM). This began with the publication of guidelines to ...
  • Bakari, A. M (TARP II-SUA Project, 2001)
    Chapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki kuhusu uimarishaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa mazao na wafugaji. Warsha ilifanyika katika Chuo eha Uongozi wa Elimu ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account