Kwa ufupi:
Maandalizi sahihi ya shamba ni jambo la msingi katika kuboresha kilimo cha umwagiliaji wa
mpunga. shamba lisipoandaliwa vema husababisha mbinu bora zinazoshauriwa
kutoonyesha matokeo katika kiwango kinachotarajiwa hasa katika uzalishaji. Kimsingi
maandalizi ya shamba yanatakiwa yafanyike kwa usahihi
na kwa wakati katika mtiririko unaotakiwa.