Chuo Kikuu Mzumbe, Skuli ya Biashara
(Chuo Kikuu Mzumbe, 2018)
Kitabu hiki ni zao la uzoefu, kujifunza na utafiti wa miaka mitano katika sekta ya nyuki. Baada ya kufanya kazi na wajasiriamali katika sekta ya misitu na nyuki, fursa katika ufugaji-nyuki zilikuwa ni wazi. Hata hivyo, ...